| Changamoto Life Preservation Fund | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | Changamoto LPF |
| Eneo Ilipo Ofisi | Saateni kwa Abass Hussein |
| Anuani / P.O. Box | 2782 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 2230616; 5500523 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Mohammed Said Mohammed |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | 4 |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 8 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 48 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 1997 |
| Uwanachama wa Mitandao | ANGOZA, TAMF, ZIGM |
| Bajeti ya Mwaka | |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Ada za wanachama; Michango ya wanachama; Faida ya mikopo na misaada |
| Kazi | |
| Walengwa | |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Biashara Ndogo Ndogo; Nyenginezo: Kuweka na Kukopa |
| Aina ya Kazi | Kuweka na kukopa |
| Eneo la Utendaji | Taifa |
| Mwelekeo | Mjini |
| Dira / Vision Statement | |
Jamii isiyo kuwa na masikini |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Changamoto imejifunga katika kutekeleza utoaji wa mikopo ushauri na kuhamasisha watu kujiajiri wenyewe na kuwa na mapato endelevu kwa mahitaji ya jumuiya za Wazanzibari |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kusaidia juhudi serikali (SMZ) kupunguza na hatimae kuondoa umasikini kwa kuwa na mtandao mzuri na serikali, asasi za kiraia na za kimataifa |
|
| Mafanikio Makuu | |
1997 – Kusajilia kwa jumuiya; 2002 – Kuanza kutoa mikopo kwa vikundi kwa kupitia mfuko wa SELF; 2005 – Kutoa Elimu ya uraia hini ya udhamini wa UNDP; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |