| Chambani Development Society | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | CHADESO |
| Eneo Ilipo Ofisi | Mgwachani / Mkungu |
| Anuani / P.O. Box | 138 Chake |
| Kisiwa | Pemba |
| Nambari ya Simu | 0777-420893; 0777-420164 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Khamis Kassim Muhamed |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 15 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 172 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2001 |
| Uwanachama wa Mitandao | PACSO |
| Bajeti ya Mwaka | USD 50,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Ufadhili; Michango |
| Kazi | |
| Walengwa | Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Elimu: Msingi; Elimu: Sekondari; Mazingira: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Haki za Binadamu; Maendeleo Vijijini; |
| Aina ya Kazi | |
| Eneo la Utendaji | Jimbo |
| Mwelekeo | Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Jamii yenye maendeleo |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Jamii ya wachambani iishi maisha bora |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kuinua kiwango cha maisha ya wachambani |
|
| Mafanikio Makuu | |
1. Mafunzo juu ya uendeshaji jumuiya; Walengwa kufahamu na kutoa ushirikiano kwa jumuiya; Kuendesha mradi wa mapambano dhidi ya maabukizi mapya ya ukimwi; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |