Chama cha Watu Wanaoishi na Kisukari Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho DAZ
Eneo Ilipo Ofisi Mnazi Mmoja Hospital
Anuani / P.O. Box 1902
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0777-486320
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Waziri Said Othman
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Waziri Said Othman
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Mwenyekiti
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 17
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 446
Mwaka Iliosajiliwa 2006
Uwanachama wa Mitandao World Diabetes Association
Bajeti ya Mwaka TZS 1,255,656,042.38
Njia Kuu ya Kupata Fedha Ada ya wanachamaa; Michango ya wahisani
Kazi
Walengwa Watu Wanaoishi na Kisukari;
Sekta Unazozifanyia Kazi Nyenginezo: Kisukari
Aina ya Kazi

Kuendesha mafunzo, kuendesha Kliniki, kutoa tiba

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

a. Kuwapa taarifa wanainchi na jamii kwa jumla juu ya njia na mbinu zilizogunduliwa na zinazogunduliwa katika kukabili ungojwa wa kisukari; b. Kuwapa nafasi watu wanoishi na kisukari kwa kuwashirikisha kikamilifu katika kufanya uchunguzi (Research) juu ya ungonjwa wa kisukari

Dhamira / Mission Statement

Kutoa msaada kwa watu wanaoishi na Kisukari ili kukuza hali zao na zile za jamaa zao

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kuondoa dhana potofu kuhusu kisukari, kwa kuelemisha rika zote za jamii ili watu waulewe ungonjwa wenyewe na pia wagonjwa wajitambue kuwa nai ni sehemu ya jamii katika taifa letu.

Mafanikio Makuu

Apiril, 2006: Kufufua upya chama; 14/11/2006: Matembezi ya hisani ya kuchagia ujenzi wa; Diabetic centre-Mwankwerekwe; 1/12/2006: Kuhudhuria I.D.F Conference-Cape Town; South Africa; February 2007: Kukamilisha ramani ya jingo la Diabetic centre; Built fence around their office; received 9 million and deposited in bank

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma