| Chake Chake Women Organization for Development | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | CHAWODE |
| Eneo Ilipo Ofisi | Msingini |
| Anuani / P.O. Box | 65 |
| Kisiwa | Pemba |
| Nambari ya Simu | 0777-496910 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Shezela Mohamed Salum |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Kiembe Ramadhan Khamis |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | 0 |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 20 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 218 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2003 |
| Uwanachama wa Mitandao | PACSO; ZACO (Zanzibar Advocacy Coalition) |
| Bajeti ya Mwaka | |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Ada na michango ya wanachama; Michango ya wafadhili |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wazee; Wakulima; Wavuvi; Yatima; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wajane; Wanawake; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Mawasiliano na Habari; Ushirika; Udumishaji Mila; Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Utetezi wa Sera; Elimu: Sekondari; Elimu: Mafunzo ya Elimu ya Juu; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Afya: Afya ya Uzazi; Haki za Binadamu; Ushawishi; Mikopo Midogo Midogo; Biashara Ndogo Ndogo; Maendeleo Vijijini; Maswala ya Dawa za Kulevya; |
| Aina ya Kazi | Kutoa Elimu kuhusu afya ya uzazi, HIV?AIDS, utetezi wa kijinsia na utetezi wa sera bora ya taifa kwa wamamawajawazito na watoto ili kupunguza umasikini |
| Eneo la Utendaji | Wilaya |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Maendeleo endelevu kwa mwanadamu |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kumnyanyua mwanamke kimaendeleo wa wilaya ya Chake Chake kwa kumjengea uwezo kwa kujiondosha umasikini kwa kujinasua kiuchumi vile vile kunyanyua haki ya kipato vijijini |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kujenga na kuboresha hali ya afya ya mama na watoto ili kupunguza vifo na kujinasua na umasikini uliokithiri |
|
| Mafanikio Makuu | |
5.2.07 Kufanya semina ya jinsia katika sheia nne wilayani Chake Chake; 11-20.8.07; Kufanya mikutano ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi (Mzambarauni, Piki, Kichokochwe Kambini na Kojani); Health education on gender issues; poverty reduction |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |