Jambo Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho
Eneo Ilipo Ofisi Nungwi - Kikwajuni
Anuani / P.O. Box 3603
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0755-013130
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao http://www.jambo-zanzibar.de
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Jutta Nedorn
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Jutta Nedorn
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Mkurugenzi
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 10 to 13
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 492
Mwaka Iliosajiliwa 2007
Uwanachama wa Mitandao Jambo Zanzibar Germany
Bajeti ya Mwaka TZS 8,500,000.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha Misaada; ubalozi wa ujerumani; na kampuni ya NOVARTIS - Pharma
Kazi
Walengwa Watoto; Familia; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wajane; Wanawake; Vijana; Wengineo: Walimu
Sekta Unazozifanyia Kazi Biashara; Mawasiliano na Habari; Ushirika; Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Sekondari; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Mafunzo ya Kiutaalam; Maendeleo Vijijini; Utalii;
Aina ya Kazi

Misaada ya elimu ushirikiano na utalii na hotyeli; mazingira; kutengeneza mbolea ya mboji; mitindo ya sanaa inayotokana na takataka; mafunzo ya ushonaji; nyenzo za habari ( maktaba) mafunzo ya lugha ya kiingereza kwa ajili ya mawasiliano;

Eneo la Utendaji Mkoa
Mwelekeo Mjini
Dira / Vision Statement

Tunataka kufanya kazi kwa karibi na watu katika vijiji tunavyvifanyiak kazin a kuwawezesha kufikia hali bora ya kimaisha, tunataka kutafuta namna ya kuwashiriksha katika utalii

Dhamira / Mission Statement

Help for self-development: providing training in skills related to languages, tourism, environment, and health care.

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kuto fursa ya elimu bora hasa kwa wanawake ili kuwawezesha kujitegemea zidi ili waweze kumudu kuendesha maishayaao na familia zao

Mafanikio Makuu

Ujenzi wa uwanja wa kuchezea watoto (2005); kujenga chuo cha Kiislamu kilindi ( 2005); kujenga ofisi ya waalimu (2006); kuendesha semina kuhusu mazingira na afya (malaria) ( 2006); kujenga makataba ya skuli ya sekondari Nungwi (2006 – 2007); kutoa mafunzo ya kutengeneza mbolea ya mboji na mafunmzo kuhusu mazingira (2007);; Building a playground for the nursery school (2005)
Building a Koran school in Kilindi (2005)
Building a staff room for the nursery school (2006)
Providing seminars about the environement and health (malaria) (2006)
Building a library for the Nungwi secondary school (2006-2007)
Providing seminars about composting and the environment (2007)

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Nungwi, Kilindi, Kidoti (school), Fukuchani (school)


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma