CARE International in Tanzania (Zanzibar Office)
Utangulizi
Ufupisho CARE
Eneo Ilipo Ofisi Mombasa
Anuani / P.O. Box 87
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 2234093
Faksi / Fax 2235991
Anuani ya Barua Pepe / Email ; ;
Mtandao http://www.care.or.tz
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Zanzibar Area Representative
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Ismail Salim Mgeni
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Afisa Mradi
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 25
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 144
Mwaka Iliosajiliwa 2000
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka USD 500,000.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha UNDP; McKnight Foundation; Ford Foundation; MacArthur Foundation; CARE Austria; Government of Austria; Norad (Norwegian Agency for International Development)
Kazi
Walengwa Watoto; Familia; Wakulima; Wavuvi; Watu wa Vijijini; Wanawake; Vijana;
Sekta Unazozifanyia Kazi Utetezi; Kilimo na Mifugo; Ushirika; Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Utetezi wa Sera; Elimu: Sekondari; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Ushawishi; Mikopo Midogo Midogo; Biashara Ndogo Ndogo; Uangalizi wa Mali Asili; Mafunzo ya Kiutaalam; Maendeleo Vijijini; Utalii; Mafunzo ya Ufundi;
Aina ya Kazi

Uhifadhi wa mali asili na maendeleo vijijini

Eneo la Utendaji Kimataifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Tunataka dunia yeye matumaini, uvumilivu na haki za kijamii ambayo haina umasikini na ambamo watu wanaishi kwa usalama na hehima.CARE international itakuwa ni chombo cha dunia na mashirika katika uteuzi katikavyama vya dunia vilivyojizatiti kuondoa umasikini. Kutambulika duniani kote kwa msimamo wetu usioyumba wa kupigamia heshima na utu wa mwanadamu

Dhamira / Mission Statement

Kuhudumia watu na familia masikini katika jamii na dunia, kuunga nguvu katika anuai, nyenzo na uzoefu, tunakuza ufbinifu na tunatetea uwajibikaji duniani, tunawezesha mabadiliko ya kudumu ya kujengea uwezo kutusaidia kutoa fursa za kiuchumi, kupuleka huduma za dharura, kushawishi maamuzi ya kisera na kuondoa umasikini

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Umasikini mkubwa katika maeneo CARE infanya kazi utapunguzwa na haki za kijamii zitakuzwa.

Mafanikio Makuu

Kuendeleza hifadhi ya Taifa ya Jozani na Chwaka, kuendeleza eneo la uhifadhi la kisiwa cha misali, kuendeleza mpango wa usimamizi na uhifadhi wa msitu wa ngezi na utalii, ujenzi wa kituo cha kuendeleza msitu wa ngezi. Kuanzisha na kusaidia vikundu 315 vya kuweka na kukopa; kusaidia uanzishwajai na uendelezaji wa NGOs nchini; kama viliJECA, MICA NGERANECO na PESACA;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Tanzania Bara: Morogoro; Dar es Salaam; Shinyanga; Kigoma; Mwanza; Zanzibar: nghuba ya Jozani na Chwaka, Wilaya za kusini na kati, kisiwa cha misali, eneo langezi /mawimbi, wilaya za Chakachake na Mkoan


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma