| Jumuiya ya Elimu, Mafunzo, Utafiti na Ushauri, Zanzibar | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | JEMUUZA |
| Eneo Ilipo Ofisi | Chasasa wete-pemba |
| Anuani / P.O. Box | 91 Wete |
| Kisiwa | Pemba |
| Nambari ya Simu | 0777-496193 |
| Faksi / Fax | 242-454458 |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Haji Kh. Haji |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Thuwein Issa Thuwein |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Makamo Mwenyekiti |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 6 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 62 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 1998 |
| Uwanachama wa Mitandao | |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 24,000,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Michango ya wanachama ya kila mwezi; Misaada kutoka kwa wafadhili. |
| Kazi | |
| Walengwa | Wakulima; Wavuvi; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Ushirika; Mikopo Midogo Midogo; Mafunzo ya Kiutaalam; |
| Aina ya Kazi | Kutao mafunzo ya kitaalam kwa vikundi vya kiuchumi(ushirika), haki za binadamu, elimu ya uraiya. |
| Eneo la Utendaji | Taifa |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Mbinu bora za uendeshaji miradi |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kuendesha shughuli za kiuchumi za kijamii kitaalamu |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
1. Kueneza elimu kwa walengwa kwa njia ya semina, kongamano, elimu za mbali; kuendesha utafiti juu ya mahitaji ya elimu; kutayarisha makala za kufundisha; kutoa mafunzo kwa wanafunzi na kutoa mikopo midogomidogo |
|
| Mafanikio Makuu | |
Agosti/sept2005-kuendesha elimu ya uraiya-pemba; Dec.2005-mafunzo kwa wafanya biashara ndogondogo; July/agust2006-mafunzo ya uongozi kwa wanawake wapenda mwani-pemba; Dis.2006-warsha juu ya uanzishaji akiba na mikopo-walimu utaani; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |