| Buruda Development Foundation | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | Buruda |
| Eneo Ilipo Ofisi | Pwani mchangani |
| Anuani / P.O. Box | 2666 Zanzibar |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 0777-478591 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Khatibu Shauri Mussa |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Haji Simai Mcha |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 21 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 140 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2001 |
| Uwanachama wa Mitandao | |
| Bajeti ya Mwaka | |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | a) Ada za wanachama; Mikopo na misaada; Uwekezaji rasilimali; Na njia nyingine yoyote halali. |
| Kazi | |
| Walengwa | Wavuvi; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wengineo: Huduma za Kijamii |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Elimu ya Juu; Afya: Kiujumla; Utalii; |
| Aina ya Kazi | |
| Eneo la Utendaji | Shehia |
| Mwelekeo | |
| Dira / Vision Statement | |
Ifikiapo mwaka 2011 iwe huduma zote za kijamii zinapatikana bila ya matatizo yoyote yaani miaka 10 baada ya kusajiliwa asasi. |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kusaidia maendeleo katika jamii na kuimarisha patikanaji wa huduma za kijamii kam vile elimu, afya, maji, umeme n.k. |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kupunguza umaskini katika shehia na baadae asasi kiupanua shughuli zake kuendesha shehia za jirani. |
|
| Mafanikio Makuu | |
2001-ukarabati wa kituo cha afya; 2001-kujenga madarasa 3 ya kusomea skuli; 2002-kuanzisha ujenzi wa skuli ya maandalizi; 2003-kukipatia umeme kijiji cha p/mchangani; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |