| Jumuiya ya Elimu na Mazingira | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | JUEMA |
| Eneo Ilipo Ofisi | Shehia Ya Kivunge |
| Anuani / P.O. Box | |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 0773-516614; 0777-451080 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Khamis Mohamed Nassor |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Juma Ali Makame |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | 0 |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 33 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 502 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2007 |
| Uwanachama wa Mitandao | |
| Bajeti ya Mwaka | None yet - just starting up |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Michango kutoka kwa wanachama |
| Kazi | |
| Walengwa | Jamii Yote; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Kilimo na Mifugo; Udumishaji Mila; Elimu: Msingi; Elimu: Utetezi wa Sera; Elimu: Sekondari; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Afya: Afya ya Uzazi; Uangalizi wa Mali Asili; Mafunzo ya Kiutaalam; Maswala ya Dawa za Kulevya; |
| Aina ya Kazi | Ni kutoa elimu kwa ujumla pamoja na uhamasihaji/utetezi na utunzaji wa mazingira |
| Eneo la Utendaji | Shehia |
| Mwelekeo | Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Ni kuangalia zaidi katika suala la elimu na mazingira |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Ni kuondoa ujinga, maradhi, utumiaji wa madawa ya Kulevya, ukimwi pia kukuza na kuimarisha silka, mila na desturi zenye kufaa katika jamii; Kadhalika na kuondoa tatizo la uharibifu wa mazingira katika maendeleo mbalimbali |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Ni kutoa elimu kwa jamii kwa njia ya nadharia na vitendo; Kushajihisha/kuhmasisha jamii juu ya haja ya utunzaji wa mazingira katika maeneoi kama vile maji, ardhi na hewa; Kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa elimu |
|
| Mafanikio Makuu | |
Commnity meetings, raising awareness within community; Bank account being opened; Commnity meetings, raising awareness within community; Bank account being opened |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |
Kivunge |
|