Bububu Kigamboni Development Organization
Utangulizi
Ufupisho BUKIDO
Eneo Ilipo Ofisi Bububu Kigamboni Zanzibar
Anuani / P.O. Box 1927
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0777 463642; 0777 876690
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Mohamed Said Ali
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Bi Salma Salim Omar (Katibu)
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Katibu
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 10
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 12
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 438
Mwaka Iliosajiliwa 2006
Uwanachama wa Mitandao ANGOZA
Bajeti ya Mwaka TZS 18,000,000.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha Michango, ada, ufadhili
Kazi
Walengwa Jamii Yote;
Sekta Unazozifanyia Kazi Utetezi; Usuluhishi; Udumishaji Mila; Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Utetezi wa Sera; Elimu: Sekondari; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Afya: Afya ya Uzazi; Haki za Binadamu; Ushawishi; Mikopo Midogo Midogo; Biashara Ndogo Ndogo; Uangalizi wa Mali Asili; Mafunzo ya Kiutaalam; Dini; Maendeleo Vijijini; Sayansi na Tekinolojia; Maswala ya Dawa za Kulevya; Mafunzo ya Ufundi;
Aina ya Kazi

Kuna vikundi vidogo vidogo vinavyojishughulisha na kazi za ujasiri amali kama kazi za spice, na kupakasa, ushoni, mapishi n.k

Eneo la Utendaji Kijiji
Mwelekeo Vijijini
Dira / Vision Statement

Kuleta mabadiliko/maendeleo katika kijiji na jamii kwa ujumla; Kuleta/kutengeneza ajira kwa jamii

Dhamira / Mission Statement

Kujenga mshikamano katika kijiji ilimkuweza kujadili kutenda na kuweza kutatua matatizo yanayokikabili kijiji e.g umaskini, ajira, elimu n.k

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kuleta mabadiliko/maendeleo katika kijiji na jamii kwa ujumla; Kutafuta mafunzo/ujuzi wa kujenga uwezo juu ya kuongoza (uongozi) kwa ngo (bukido); Kupata mafunzo ya ujasirimali kw wanakikundi ili waweze kujiajiri na kujitegemea.

Mafanikio Makuu

2/08/2006 tumepata usajili no. 438 kupitia kwa msajili mkuu wa serikali; Feb 2007 tumeshiriki katika ushajihishaji kupika dawa za malaria; April 2007 tumeshiriki maonyesho baraza la wawakilishi; April 2007 tumekubaliwa kuwa wanachama wa ngoza; July 2007 tumeshiriki semina ya ukimwi, kuwakilisha bububu yote; Feb 2007 tulishiriki katika upigaji dawa za mbu wa malaria katika shehia 19 katika wilaya ya magaribi unguja; Shehia za myomi, sharifumsa, kibweni, bububu, mfenesini, mwakaje, mwanyanya n.k; Community mobilization

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma