Jumuiya ya (Kamati) ya Maendeleo ya Wananchi wa Kijiji cha Chwaka
Utangulizi
Ufupisho
Eneo Ilipo Ofisi Chwaka
Anuani / P.O. Box 25
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Ali Kassim Haji
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Yussuf Ali Simai
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Katibu Mtendaji
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 33
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 105
Mwaka Iliosajiliwa 1999
Uwanachama wa Mitandao --
Bajeti ya Mwaka
Njia Kuu ya Kupata Fedha Michango ya wanachama na wahisani
Kazi
Walengwa Watu wa Vijijini;
Sekta Unazozifanyia Kazi Maendeleo Vijijini;
Aina ya Kazi

Maendeleo ya wana kijiji kwa nyanja zote

Eneo la Utendaji Kijiji
Mwelekeo Vijijini
Dira / Vision Statement

Kupunguza umaskini, ujinga na maradhi

Dhamira / Mission Statement

Kukuza maendeleo ya kijiji na kusaidia kuondoa umaskini kwa wana kijiji cha chwaka

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kuhamasisha maendelo ya wana kijiji cha chwaka na kuboresha hali ya maisha ya wananchi

Mafanikio Makuu

Ujenzi wa madarasa na kupunguza utoro wa wanafunzi.kuanzishwa kwa darasa la computer.ujenzi wa kituo cha afya na n.k;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma