Association of Engineers - Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho AEZ
Eneo Ilipo Ofisi
Anuani / P.O. Box 266
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0777-412032/2231674
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Kissasi/R.E
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Zidi/M.S
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Katibu
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 1
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili To be issued with registration
Mwaka Iliosajiliwa 1986
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka TZS 50,000,000.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha 1. Michango ya wahisani; ada za wanachama
Kazi
Walengwa Wengineo: Wataalam
Sekta Unazozifanyia Kazi Mafunzo ya Kiutaalam; Sayansi na Tekinolojia; Mafunzo ya Ufundi;
Aina ya Kazi

Ushauri wa watu binafsi, taasisi ya watu binafsi, serikali n.k

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Kuwa na wasanii wa kazi wa kazi za mikono walio mahiri na uwezo ambao watafanya kazi zao kwa viwango vinavyokubalika

Dhamira / Mission Statement

Kuhakikisha ukuwaji ya elimu za uhandisi, mawasiliano ya komputa na mambo yote yanayohusiana nayo, kisiwani pote

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kushajiisha matumizi ya; Ujuzi wa mtu mmoja mmoja nchini, kwa maeneo tofauti katika fani ya ujenzi/ufundi wa miundombinu pamoja na mitambo; kuwaleta pamoja wahindisi wa nyanja mbalimbali visiwani pamoja na jumuia kuwa kama ni pahala la kubadilishana mawazo, elimu na uzoefu katika kazi zao za kila siku.

Mafanikio Makuu

1994 semina juu ya uhandisi ilifanyika ectrotanal; 1994 serikali ilitoa changamoto kwa jumuiya juu ya uondoshaji wa maji ya mvua eneo la michezo la mnazi mmoja .Nusu ya kazi imefanyika kimafanikio;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Yafuataya ni maeneo yaliyo fanyiwa kazi na asasi ya jumuiya ya kibokwa; Kama ifuatavyo; Bonde la kibokwa; Bonde la mbuzini; Bonde la machekechuni; bonde la mto wa maji; bonde la mkokotoni; bonde la banda maji; bonde la kichanga; bonde la miwani; Kibokwa irrigation; Tunafanyia kazi hapa unguja


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma