Jumuiya Maendeleo ya Wadi ya Malindi - Development for Malindi Ward
Utangulizi
Ufupisho DEMAWA
Eneo Ilipo Ofisi Shehia Mchangani Mjini
Anuani / P.O. Box 502
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0713-535278
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Ali Awadh Abeid
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Saleh Mwanze Mravilli
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Katibu
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 12
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 185
Mwaka Iliosajiliwa 2002
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka
Njia Kuu ya Kupata Fedha Wafadhili na michango wa wanachama wenyewe
Kazi
Walengwa Watoto; Wakulima; Wavuvi; Waathirika wa Ukimwi; Wajane; Wanawake; Vijana;
Sekta Unazozifanyia Kazi Kilimo na Mifugo; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Mikopo Midogo Midogo; Biashara Ndogo Ndogo; Maswala ya Dawa za Kulevya; Mafunzo ya Ufundi;
Aina ya Kazi

Eneo la Utendaji Mkoa
Mwelekeo Mjini
Dira / Vision Statement

Kuondosha madawa ya Kulevya, kusafisha maeneo yaliyo zunguka shehia zetu (usafi wa mazingira) kusaidiana kutokomeza janga la ukimwi

Dhamira / Mission Statement

Kuleta maendeleo kayika wadi yetu ya mchangani mjini

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Revive the past situation of having small latrines, street signs to be kept, cleaning of sewages

Mafanikio Makuu

Kurudisha hali ya zamani kuwa na vyoo vya haja ndogo.alama za njia na mitaa ziwepo njiani. Kusafisha mitaro ya maji taka;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma