| Anti-Malaria Society, Zanzibar | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | AMS |
| Eneo Ilipo Ofisi | Nyerere, Magomeni |
| Anuani / P.O. Box | 2640 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | +255-777-491150 |
| Faksi / Fax | +255-242-235808 |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | ; |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Seif Maalim Seif |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Seif Maalim Seif |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Mwenyekiti Mtendaji |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 24 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 327 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2004 |
| Uwanachama wa Mitandao | ANGOZA |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 18,000,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Kupitia michango ya wafadhili na michango ya wanachama (ada) . |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wazee; Familia; Wakulima; Wavuvi; Watoto Wachanga; Yatima; Walemavu; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wajane; Wanawake; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Mawasiliano na Habari; Ushirika; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Afya: Afya ya Uzazi; Ushawishi; Mikopo Midogo Midogo; Uangalizi wa Mali Asili; Maswala ya Dawa za Kulevya; |
| Aina ya Kazi | |
| Eneo la Utendaji | Kisiwa |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Jamii isiyokuwa na malaria |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kuona tatizo la malaria linatoweka hapa Zanzibar sambamba na jamii kufahamu |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kushiriki kuota elimu na kuijilisha jamii juu ya elimu kuhusu ungonjwa wa Malaria. Pia suala la mazingira ikiwemo kuyatunza, kuyahifadhi na kuyaendeleza linefahamika vyema na jamii huskia ya wazanzibari wote. |
|
| Mafanikio Makuu | |
2003 : wanainchi kukubali na kuamua kuamisha AMS; 2004: kupata usajili na mafumo ya msingi kuhusu malaria; 2005: Kuanza kutoa taaluma kwa wanainchi maneo ya mjini; 2004-5: jumuiya koungeza maaneo ya kuf; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |