Jumuiya kwa Ajili ya Watu Wenye Ulemavu wa Akili Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho ZAPDD
Eneo Ilipo Ofisi Migombani (Ngazi Mia)
Anuani / P.O. Box 4539
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu +255(024) 2237527
Faksi / Fax +255(024) 2237527
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Obeid Fabian Hofi
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Juma Salim Ali; Fauzia Mwita Haji
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Naibu Katibu; Katibu
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 11
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 87
Mwaka Iliosajiliwa 1999
Uwanachama wa Mitandao ANGOZA; ANDD (Advocacy Netowork for Developmental Disabilities)
Bajeti ya Mwaka TZS 99,490,123.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha 1. Ufadhili kutoka kwa washirika wa maendeleo; 2. Michango ya wanachama
Kazi
Walengwa Walemavu;
Sekta Unazozifanyia Kazi Utetezi; Elimu: Utetezi wa Sera; Ushawishi;
Aina ya Kazi

1. Ushawishi; 2. Kujenga uwezo kwa walemavu na wazazi na wanachama; 3. Kujenga uelewa kwa jamii; 4. Ushrikiano na taasis nyingnie (Network)

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Ni kujenga jamii kwa ajili ya watu wote wenye ulemavu wa akili

Dhamira / Mission Statement

Jumuiya imejidhadhiti kushawishi na kutetea, kuwajengea uwezo walengwa, wazazi na wanachama na kujenga mazingira bora yatakayohakikisha ujumuishaji katika nyanja za kimaisha

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

1. kushawishi na kutetea haki za watu wenye ulemavu wa akili zikiwemo elimu, afya, ulindwaji n.k; 2. kutetea haki za sera za ujumuishwaji; 3. kuhamasisha na kujenga uelewa juu ya mambo yanayohusu ulemavu wa akili; 4. ushrikiano na taasis za ndani na nje ya nchi ili kubadilishana usoefu na taarifa kuhusu ulemavu wa akili.

Mafanikio Makuu

Jamii kwa kiasi Fulani imeelewa suala zima la ulemavu wa akili; Jumuiya imaeleweka ndani na nje ya nchi; Haki ya elimu kwa watoto wenye ulemavu imeanza kupatikana; Sera ya elimu ya Zanzibar imekuwa ni jumuishi (inclusive Policy);

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma