| AidNet Zanzibar | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | AidNet |
| Eneo Ilipo Ofisi | Shangani |
| Anuani / P.O. Box | 4266 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 0754-378026 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | ; |
| Mtandao | http://www.aidnet.8m.net |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Amir Hazma Amir |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Amir Hazma Amir |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Mkurugenzi wa Maendeleo |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | 1 |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 3 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | LO1382001 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2001 |
| Uwanachama wa Mitandao | -- |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 7,525,500.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | 1. Michango ya wana aidnet; Michango ya wahisani |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wazee; Familia; Wavuvi; Walemavu; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wajane; Wanawake; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Udumishaji Mila; Mazingira: Utetezi wa Sera; Afya: Ukimwi; Haki za Binadamu; Ushawishi; Maendeleo Vijijini; Maswala ya Dawa za Kulevya; |
| Aina ya Kazi | 1. Utetezi wa masusala ya unyanyapaa; Kutoa elimu ya ukimwi kwa kutumia filamu; Kutoa mafunzo mbalimbali ya maendeleo ya jamii; Kusimamia |
| Eneo la Utendaji | Taifa |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Kuwa najamii yenye uelewa na uwezo wa kufanya matumizi sahihi na yenye tija ya rasilimali zilizopo ili kufikia maendeleo halisi/endelevu |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kuwa ni sehemu ya mchakato wa kuifanya jamii maskini kuweza kushiriki kikamilifu katika harakati za kujiletea maendel endelevu na kuifanya dunia kuwa sehemu mzuri ya kuishi |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kuziimarisha jamii kwa kuzijengea uwezo kwa njia ya kuwapa mafunzo na ujuzi wa namna ya kuzitumia rasilimali kwa aili ya maendeleo ya sasa na ya vizazi vijavyo |
|
| Mafanikio Makuu | |
2002 kutoa mafunzo ya ujuzi kwa wasanii wa kazi za mikono; 2004/05 kutoa mafunzo ya elimu ya maendeleo endelevu kwa asasi za vijana; 2005/06 kuwapa elimu ya maendeleo endelevu kwa walimu na wanafunzi; 2007---kutoa elimu ya ukimwi kwa walimu na wanafunzi wa skuli za sekondari za unguja; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |
Maeneo yaliyo fanyiwwa kazi na aidnet kwa miaka miwili iliyo pita; Wilaya ya mjini; Wilaya ya magharibi; Wilaya ya kusini; Wilaya ya kati; Wilaya ya kaskazini “A”; Wilaya ya kaskazini “B”; Wilaya ya chakechake; Wilaya ya wete; |
|