| Catalyst Organization for Women Progress in Zanzibar | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | COWPZ |
| Eneo Ilipo Ofisi | Mji |
| Anuani / P.O. Box | 4546 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 024-2230888 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Saada Ramadhan - Mwenyelate |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Asha Abuud |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | 2 |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 5 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | c/68/1991 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 1991 |
| Uwanachama wa Mitandao | ANGOZA, ZANGOC, ZIGN, Zanzibar NGO Coalition |
| Bajeti ya Mwaka | |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Michango ya wanachama, Kuandika miradi kwa watadhili |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wanawake; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Afya: Ukimwi; Afya: Afya ya Uzazi; Haki za Binadamu; Ushawishi; Mikopo Midogo Midogo; |
| Aina ya Kazi | 1. Kuhamasisha jamii juu ya athari za ajira za watoto.
|
| Eneo la Utendaji | Taifa |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Kupunguza aina yote ya ukandamizaji katika jamii. |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kupunguza athari kwa wanawake,vijana na watoto kutokana na umasikini,maambukizo ya Ukimwi,kujenga usawa wa kinjisia kwa njia ya uwezeshaji,utetezi,kujenga uwezo,vitendea kazi na kubadilishana taarifa |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
- Kuanzisha kituo cha larlelea watoto Bwejuu
|
|
| Mafanikio Makuu | |
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |