Association of NGOs in Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho ANGOZA
Eneo Ilipo Ofisi Mwanakwerekwe
Anuani / P.O. Box 4686 zanzibar
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 255 24 223 9325
Faksi / Fax -
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao http://www.angoza.org
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Chairperson
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Maryam S.Abubakar
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Katibu Mkuu
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 4
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 1
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili C.7
Mwaka Iliosajiliwa 24
Uwanachama wa Mitandao EISA, EACSO, TEMCO
Bajeti ya Mwaka 112,960,000.00 TSHS
Njia Kuu ya Kupata Fedha Foundation for CSOs in Tz, UNDP, Pact Tz. IUP of Denmark,
Kazi
Walengwa Watoto; Wazee; Wakulima; Wavuvi; Wafugaji; Yatima; Watu Wanaoishi na Kisukari; Walemavu; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wajane; Wanawake; Vijana; Wengineo: Hakiza wanyama, Mazingira
Sekta Unazozifanyia Kazi Utetezi; Kilimo na Mifugo; Mawasiliano na Habari; Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Utetezi wa Sera; Elimu: Sekondari; Mazingira; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Haki za Binadamu; Ushawishi; Mikopo Midogo Midogo; Biashara Ndogo Ndogo; Uangalizi wa Mali Asili; Kupunguza Umaskini; Maendeleo Vijijini; Maswala ya Dawa za Kulevya; Utalii;
Aina ya Kazi

Kujenga uwezo, kutumia pamoja rasilimali, na kutoa ushauri

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Jamii isiyo na umaskini uliokithiri, rushwa ukiukwaji wa haki za binaadamu

Dhamira / Mission Statement

Kuchanbgia katika kupunguza umasikin uliokithiri, kupambana rushwa, na kukuza haki za binaadamu, na kuzijengea uwezo NGO wnachama kutumia pamoja rasilimali

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

1.Kuratibu NGOs za Zanzibar.
2. Kuchangia utendaji mzuri wa sekta ya NGOs kwa kuzijengea uwezo
3. Kufanya ushawishi na utetezi utakaopelekea kuwepo mazingira mazuri kwa NGO
4. Kujenga mashirikiano mazuri kitaifa na kimataifa na kuwa na sauti moja

Mafanikio Makuu

1.ANGOZA imeshiriki katika kutengeneza mpango wa kupunguza umasikini Zanzibar (MKUZA)
2. ANGOZA imesaidia kutengeneza mpango wa ufuatiliaji wa MKUZA
3.ANGOZA ilikuwa mstari wa mbele katika kutengeneza sera ya NGO Zanzibar.
4.ANGOZA imesadia katika kuendesha Utafiti shirikisha juu ya utoaji wa huduma ambapo matokeo yajke yalitumika kuleta mabadiliko katika sera ya maji na elimu
5. ANGOZA imehamasisha juu juu ya malengo ya maedeleo ya kidua katika wilaya mbili Micheweni na wilaya kaskazini A

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

ANGOZA inajenga uwezo Jumuiya za kiraia katika Utetezi, Jinsia, mazingira na Haki za binaadamu


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma