Ivo De Carneri Foundation - Zanzibar Branch
Utangulizi
Ufupisho IDCF-ZB
Eneo Ilipo Ofisi Malindi, House 624
Anuani / P.O. Box 3773
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 024-2452550
Faksi / Fax 024-2452550
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao http://www.fondazionedecarneri.it
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Yahya M. S. Al- Sawafy
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Yahya M. S. Al- Sawafy
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Mwakilishi Mkaazi
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 5
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 5
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 109
Mwaka Iliosajiliwa 2000
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka USD 53,355.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha Michango kutoka makao makuu Milan Italia; kutoka jumuiya za uhisani; mawakala wa ufadhili, taasisi za tafiti, vyuo vikuu
Kazi
Walengwa Jamii Yote; Watoto; Wakulima; Watu wa Vijijini; Wanawake;
Sekta Unazozifanyia Kazi Kilimo na Mifugo; Elimu: Msingi; Elimu: Sekondari; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Uangalizi wa Mali Asili; Mafunzo ya Kiutaalam; Maendeleo Vijijini;
Aina ya Kazi

Kuendesha zahanati ya gombani kwa kutoa ushauri na maribabu bure; ujenzi na uendeshaji wa afya kwa umma; mafunzo ya ultra sound kwa madaktari (2006-2010) usimamizi wa maji safi na miundo mbinu.

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Kuimarisha maendeleo ya afya kwa Wazanzibar kupitia hatua za afya kwa jamii kulingana na vipao mbele kwa kwekeza katika mindo mbinu ya afya na elimu pamoja na nguvu ngazi;

Dhamira / Mission Statement

Kukuza mikakati ya udhibiti wan chi za joto zinazoendelea na kusaidia utafiti

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Uendelezaji wa mikakati ya udhibiti wa maradhi yanayosababishwa na vijijdudu katika nchi zinazoendelea; kukuza utafiti na kusaidia shughuli za mafunzo ya namna ya kudhibiti na kutambua maradhi yanayosababishwa na vimelea katika nchi zinazoendelea na zilizoendeleakuendeleza n akusaidia huduma za afya zanzubar kwamashirikiano na wizara ya afya na utibabu; kukuza na kusaidia maendeleo ya kielemu Zanzibar kwa kushirikiana na wizara ya elimu.

Mafanikio Makuu

Ujenzi na uanzishaji wa maabara kubwa ya afya ya umma kisiwani pemba kwa mashirikiano na wizara ya afya na utibabu (2000); kuchangia katika kuwajengea uezo wafanyakazi kwa kuto ahduma za kiufundu udhamini wa masomsomo na mafunzo ya muda mfupi nchini na nje ya nchi ( 2000 – 2006); kujenga na kuweka samani kwa jingo la utawala ili kukuza kiwango chake kisayansi (2003 – 2005); kuendeleza elimu kwa kusaidia miradi ya maji mashuleni (2000 – 2003); kuchangia katika maendeleo ya sekta ya elimu kapitia wizara ya elimu namafunzo ya amali kwa kuto a vifaa vya ujenzi na fedha taslim( 2001);;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Pemba na Unguja


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma