| Istiqama for Development | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | Istiqama |
| Eneo Ilipo Ofisi | Chake-chake pemba |
| Anuani / P.O. Box | 84 |
| Kisiwa | Pemba |
| Nambari ya Simu | 0777-420091 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Salum Ali Suleiman |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Mohammed.S.Tiwany |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 12 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 310 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2004 |
| Uwanachama wa Mitandao | |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 15,000,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Michango na ada za wanachama, ruzuku kutoka kwa washiriki wa maendeleo wa kimatifa |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wazee; Familia; Yatima; Walemavu; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wajane; Wanawake; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Kiujumla; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Afya: Afya ya Uzazi; Ushawishi; Uangalizi wa Mali Asili; Dini; Maendeleo Vijijini; Maswala ya Dawa za Kulevya; Mafunzo ya Ufundi; |
| Aina ya Kazi | 1. Ukusanyaji na uenezaji wa habari; kuwatafutia wanajumuiya nafasi za masomo, ajira na mitaji ya biashara; kufanya kazi za daawa |
| Eneo la Utendaji | Taifa |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Kuwa na chombo cha kimaendeleo cha maibadhi kinachotegemewa na kuheshimika katika jamii ambacho kitaleta umoja na mashirikiano kati ya waislamu wa madhehebu mbalimbali na maendeleo kwa wazanzibar wote kwa ujumla. |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
1. Kuwaendeleza waislamu wa madhehebu ya kiibadhi hapa Zanzibar kielimu, kiafya, kiuchumi n.k; kuchangia maendeleo kwa jamii kwa ujumla Zanzibar na Tanzania. |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
1. kutoa elimu na mafunzo ya kiislam; kupambana na ukimwi, umaskini na dawa za Kulevya; kushughulikia masuala ya watoto yatima, walemavu, , vijana, wanawake, jinsia na ushauri nasaha; utafiti na utetezi |
|
| Mafanikio Makuu | |
2006-kampeni dhidi ya malaria; 2005/2006-kampeni dhidi ya UKIMWI; 2004/5/06-kusaidia yatima na, walemavu; 2003/4/05-mradi tandauwa, kuyuni-kusini pemba; 2003/4/05-visima vya kiuykaskazini pemba;; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |