| Istiqaama Muslim Community of Tanzania | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | IMCOT |
| Eneo Ilipo Ofisi | Mlandege |
| Anuani / P.O. Box | 3976 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 022-30694 |
| Faksi / Fax | 024-223-5685 |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Sultan Khamis Mbarouk |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Zamil Ali Muhsin |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 6 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 7 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 1996 |
| Uwanachama wa Mitandao | ANGOZA |
| Bajeti ya Mwaka | |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Michango ya wahisani |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wazee; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Afya: Kiujumla; Dini; |
| Aina ya Kazi | |
| Eneo la Utendaji | Taifa |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Ni kuiandaa jamii ili kuwafanya waislamu wawe thabiti na madhubuti kimatendo kimaadili, na kialhaki, mafanikio yake yatafanya jamii kuwa na raia wema waliotakasika (waliosalimika) na maovu |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Ni taasisi inayochangia maendeleo ya dini ya kiislamu katika visiwa vya unguja na pemba, na baadhi ya mikoa ya tanzania bara kwa kuimarisha huduma za elimu afya, miskiti na kwa kutoa misaada mbali mbali ya kijamii |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Ni kuanzisha taasisi za kieimu, misikiti, vyuo na taasisi za afya; Kushirikiana na jamii katika kutatua makuu ya jamii; Kama uchimbaji wa visima, kuchangia gharama za matibabu ya ndani na nje ya zanzibar. |
|
| Mafanikio Makuu | |
Hospitali ya Al rahma; Skuli ya maandalizi na msingi ya Istiqaama; Madrassa za quran na kiarabu; Ujenzi wa misikiti; Uchimbaji wa visima; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |