Jozani Environmental Conservation Association
Utangulizi
Ufupisho JECA
Eneo Ilipo Ofisi Jozani
Anuani / P.O. Box 2576
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0777-851871
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Ali Juma Ali
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Awesu Shaaban Ramadhani
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Msaidizi Katibu
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 6
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 95
Mwaka Iliosajiliwa 1999
Uwanachama wa Mitandao ANGOZA; MTAMAZA
Bajeti ya Mwaka TZS 54,257,460.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha Ada za mwaka; Michango na misaada ya kitaifa na kimataifa
Kazi
Walengwa Watu wa Vijijini;
Sekta Unazozifanyia Kazi Utetezi; Kilimo na Mifugo; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Maendeleo Vijijini;
Aina ya Kazi

Kuelimisha ufahamu wa kuhifadhi mazingira na matumizi bora ya mali asili; Kuboresha hali ya maisha ya jamii (kupunguza umaskini kusaidia kuibua miradi ya maendeleo vijijini

Eneo la Utendaji Mkoa
Mwelekeo Vijijini
Dira / Vision Statement

Kuwahudumia na kuwawezesha wanajamii wa jozani na Ghuba ya Chwaka kusimamia mali asili zao kwa nia ya kujiletea maendeleo ambayo yanahifadhi mazingira

Dhamira / Mission Statement

Kujenga ushirikiano na taasisi nyingine ambazo zitasaidia jumuiya kufikia malengo; Kujifunza na kusaidiana ili kuweza kupata ujuzi na kufikia malengo.

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kulinda, kuendeleza na kuhifadhi mali asili zinazopatikana katika eneo la jozani na ghuba ya Chwaka; Kusaidia kuboresha maisha ya jamii kwa kuanzisha vyanzo mbadala kwa kutoa mafunzo na ushauri vya mapato visivyo haribu mazingira; Kutoa maelekezo ya uundaji wa vikundi.

Mafanikio Makuu

2006-07 Kuweka solar power kwa skuli za Cheju, ukongoroni, charawe vilevile hosiputali za charawe na ukongoroni; 2006-07 Kutoa mafunzo ya sera na sheria za misitu; Kutoa mafunzo ya usimamizi ya mikataba ya uhifadhi wa vijijini; 2006-07 Kutoa mafunzo kwa viongozi wa vikundi na kamati za uhifadhi vijijini; 2006-07 Kusaidia miradi ya maendeleo vijijini; 2006-07; Ziara za kimafunzo kwa wanavikundi ndani na nje ya Zanzibar {Tanzania bara};

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma