| Islamic Social Services Organisation | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | ISSO |
| Eneo Ilipo Ofisi | Konde-pemba |
| Anuani / P.O. Box | 100, Konde Pemba |
| Kisiwa | Pemba |
| Nambari ya Simu | 0773-177320 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Mohamed Nassor Salim |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Saleh Mbarouk Hemed |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Naibu Katibu Mkuu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 9 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 390 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2006 |
| Uwanachama wa Mitandao | ANGOZA |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 285,600.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Michango na ada za wanachama; Sadaka za waislamu na watu wengine |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wazee; Yatima; Walemavu; Waathirika wa Ukimwi; Wajane; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Udumishaji Mila; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Utetezi wa Sera; Elimu: Sekondari; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Ushawishi; Dini; Maendeleo Vijijini; |
| Aina ya Kazi | Utetezi wa sera; Kupambana na umaskini; Kuendesha kituo cha kujiendeleza(elimu) |
| Eneo la Utendaji | Wilaya |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Kuwa na jamii ambayo itakuwa hurukutokana na maradhi, ujinga na umaskini bila ya kuathiri mila na utamaduniwa asili wa kizanzibari unao kubalika mbele ya wazanzibari wenyewe |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kushirikiana na serikali, mashirika mbalimbali na taasisi tofauti katika kuijenga jamii ya kizanzibari kielimu kiuchumi, na kiutamaduni ili ielewe kwamba ina wajibu wa kujiletea maendeleo endelevu kama ilivyo na wajibu kamili wa kujiandaa na maisha baada ya kufa;;;;;;;;;;; |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
-Kuwasaidia mayatima, wajane, walemavu wasiojiweza; -kutoa elimu(secular+religious); -kupiga vita maradhi yanayorithisha umaskini(ukimwi); Kushirikiana na asasi nyingine zenye malengo sawa katikam kupunguza umaskini nchini |
|
| Mafanikio Makuu | |
Jan.2006 kuanzisha kituo cha kujiendeleza konde; Kila mwezi, kuendesha mihadhara ya dini inayogusa ukimwi, mila nk; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |