International School of Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho ISZ
Eneo Ilipo Ofisi Mazizini
Anuani / P.O. Box 1787
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 223-3691; 0777-477053
Faksi / Fax 2233691
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao http://www.isz.co.tz
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Helen Kayne
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Angelika Sepetu
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Kiongozi
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 29
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 340
Mwaka Iliosajiliwa 2005
Uwanachama wa Mitandao AISA (Association of International Schools in Africa); CIS (Council of International Schools); CIE (Cambridge Examination Centre)
Bajeti ya Mwaka USD 405,210.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha Ada za skuli
Kazi
Walengwa Watoto;
Sekta Unazozifanyia Kazi Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Sekondari;
Aina ya Kazi

Kuendesha skuli

Eneo la Utendaji ???
Mwelekeo Mjini
Dira / Vision Statement

Tanaamini kwamba elimu inaweza kukuzwa zaidi katika mazingira ya usaidizi na kwamba usomeshaji lazima iwe nyeti kwa mahitaji ya mtu mmoja mmoja, kasi na mtindo wa kusoma

Dhamira / Mission Statement

Kutoa viwango vya elimu vinavyotambulika kimataifa kwa wanafunzi wote

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kuanzisha kuendesha skuli Zanzibar ambayo inatoa elimu kwa lugha ya kiingereza kwa ajili ya watotot wa wataalamu na watototo wa Tanzania kwa kuzingatia vikwazo vyovyote vya umri na ukubwa kama itakavyoelezwa na Wizara ya elimu ya Serikali ya Zanzibar; kutoa elimu bora kadri iwezekanavyo kwa kuzingatia mtaala wa kiiingereza na kutumia mbinu za elimu za kiingereza zilizofanyiwa marekebisho kulingana na umbile la tabia za mtazamo kimataifa; kufikia standard vitakavyowezesha watoto wa wataalmu kuendelea na masomo nchini kwao au nchi nyingine pasipo matatizo na kutoa elimu bora kwa watoto watanzania; kuamsha tabia nzuri binafsibila ya kujali tabia jinsia au utaifa na kuweza kufikia, ufahamu, heshimu na maangiliano ya kimataifa;; kuwekqa mazingira yenye rafiki yenye kuamsha usomi, kuunganisha na yenye mawazo ya baadae ambapo wanafunzi wanashajiika vya kutosha wanakuwa na heshima; kuanza na kiwango cha sasa cha maendeleo ya wanafunzi, kuwawezesha kufikia matarjio kielimu, kimwili, kiakili ili waweze kusoma katikamazingira yeyote ya skuli nyengine. Kufanya kazi kwa kiwango kinachohitajika kama ni kituo cha mbinu za kielimu na kimatendo kwa ajili ya hapa nchini na nchi nyingine yoyote ili kukuza ufahamu na mashirikiano miongoni mwa watu wa mataifa yote; kuwaelimisha wanafunzi juu ya umuhimu waq mazingira kwa haja ya kuyalinda; kufanya shughuli yoyote au tendo lolote ambalo ni muafaka wa kufikia malengo ya hapo juu:

Mafanikio Makuu

Kuanzisha ISZ, cheti cha Wizara ya Elimu (05/04/1988) . Kufanya mkutano wa kwanza wa CAMPRIDGE (2001); shughuli za kuchangisha pesa USD $6, 377 kwa ajili ya kitengo cha watoto, kitengo cha afya ya wafanyakazi Zanzibar USD $ 969 kuwapa jumuiya ya white star kwa ajili ya kununulia samani ya skuli ya maandalizi; matokeo mazuri ya mtihani wa IGCSE (2007); kujenga nyumba mbilim zaidi za skuli ili kuweza kuchukua watotot 114 (2007);

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma