| Integral Assistance to Vulnerable Children Ltd. | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | IAVD |
| Eneo Ilipo Ofisi | Mjini zanzibar, Mwanakwerekwe |
| Anuani / P.O. Box | 3764 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | +255 713-412749; 0713 412749 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | http://www.iavczanzibar.org |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Timothy W. Philemon |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Timothy W. Philemon |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Mkurugenzi Mtendaji |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | 5 |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 1 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | L09322007 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2007 |
| Uwanachama wa Mitandao | ANGOZA |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 7,600,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | World Children's Fund (WCF); washirika wa ndani; ruzuku; |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wazee; Familia; Yatima; Walemavu; Waathirika wa Ukimwi; Wajane; Wanawake; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Ukimwi; Haki za Binadamu; Haki za Wafanyakazi; Mafunzo ya Kiutaalam; Mafunzo ya Ufundi; |
| Aina ya Kazi | Kukuza ustawi wa makundi yaliyohatarini ambayo yanajumuisha watotot wa mtaani; watu waliohamishwa; wazee; kwa kuwapa makaai elimu ya msngi na ziada pamoja na staid maendeleo na huduma za afya ya msingi |
| Eneo la Utendaji | Shehia |
| Mwelekeo | Mjini |
| Dira / Vision Statement | |
I.A.V.C. inataka kuona znzibar inajengwa katika jamii yenye uhuru naafya na inapata huduma zote za kijamii bila ya kujali vikewazo vyovyote. |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
I.A.V.C. imeelekeza nguvu zake kutoa tartibu za kimaisha kwa kupitia mafunzo ya elimu na afya, vituo vya burudani, kutoa ushauri nasaha, warsha na msaada. |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Lengo letu kuu ni kutoa na kukuza hali za maisha ya jamii ya Zanzibar haswa haswa watoto waliopo kwenye mazingira hatari mayatima, ukimwa, wajane watoto wa mitaani, na makundi mengine yanayokosa fursa katika jamii. Na kuwaelekeza misingi bora ya maisha kwa kuweka fursa na mazingira sawa kwa ajili yao ili wapate kusoma katika nyanja tofauti za kimaisha |
|
| Mafanikio Makuu | |
Kusaidia chakula, elimu, baskeli za walemavu, na kutoa ushauri nasaha, na vifaa vya michezo; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |