| Africare Tanzania | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | Africare (T) |
| Eneo Ilipo Ofisi | House No. 2A.91, Mpendae Region |
| Anuani / P.O. Box | 63187 Dar Es Salaam |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 024-2231611 |
| Faksi / Fax | 024-2231611 |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | http://www.africare.org |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Phedson Mwambete |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Agnes Msuya |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Kiongozi |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | 71 |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 27 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 1996 |
| Uwanachama wa Mitandao | |
| Bajeti ya Mwaka | USD 350,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | ruzuku |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Yatima; Waathirika wa Ukimwi; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Uangalizi wa Mali Asili; |
| Aina ya Kazi | Utetezi wa sera bora za afya na usimamizi wa mali asili |
| Eneo la Utendaji | Kimataifa |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Tanzania kuwa nchi ya amani yenye afya na uchumi endelevu |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kushiriki ipasavyo kuleta katika kuondoa umasikini na ufukara |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kuwajibika kwa maeneo yaliyopewa kipaombele Tanzania; kufanya kazi kwa ushirikiano na serikali n ajumuiya za hiyari kutambua nakuheshimu matakwa ya wananchi, kukuza shughuli zinazoleta tija, kufanya kazi kwa uaminifu na uwazi |
|
| Mafanikio Makuu | |
Kujishughulisha na mradi wa wakimbizi kasuke ( 2005); kukubidhi mradi wa uhifadhi wa ugala wa mafanikio(Inaendelea); kupata mafanikio katika mradi wa COPE Dodoma (Unaendelea); |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |