Hifadhi ya Mazingira Ufufuma/Jendele
Utangulizi
Ufupisho HIMAUJE
Eneo Ilipo Ofisi Ufufuma Wilaya Ya Kati Unguja
Anuani / P.O. Box 1861
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0777-491069/0777-423255
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email ; ;
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Mustafa Mafame Ali
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Mustafa Makame Ali
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Mwenyekiti
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 110
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 127
Mwaka Iliosajiliwa 2001
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka
Njia Kuu ya Kupata Fedha Fedha tunapata kutoka katika michango ya wanachama pamoja na wahisani na miradi mbalimbali inayoendeshwa na{HIMAUJE}.
Kazi
Walengwa
Sekta Unazozifanyia Kazi Mazingira: Utunzaji wa Mazingira;
Aina ya Kazi

Himauje inaendeleza utunzaji wa misitu ya saili pamoja na mali za asili zote zinazo patikana katika misitu hiyo{Zanzibar}

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Ni kuona Zanzibar kurejea katika haiba yake ya kuwa visiwa vya kijani kutokana na kuimarika kwa misitu ya asili

Dhamira / Mission Statement

Kuhakikisha kwamba mali za asili zinaendeleakutunzwa kwa faida yetu na vizazi vijavyo

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Lengo kuu ni kupunguza umaskini katika jamii zetu kwa kutumia mali asili kwa mpango endelevu

Mafanikio Makuu

11/09/2007 Wanajamii wameweza kuelewa umuhimu wa mali za asili na kuonesha mfano kwa kuuacha msitu wa ufufuma ukipendeza na kuvutia ukiwa wa pekee pembeni mwa barabara ya chwaka; Give education to villagers to protect and preserve a species of monkey; Preserve natural ecosystem, old growth trees; Awareness-raising re: importance of natural resources

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Dunga, Jendele, Chwaka, Marumbi, Cheju, Ndijani, Muungoni pamoja na mjini magharibi.


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma