| Hands Across Borders Society | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | HABS |
| Eneo Ilipo Ofisi | Jambiani |
| Anuani / P.O. Box | 210 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 0777-470408; 0786-231988 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | http://www.handsacrossborderssociety.org |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Alastair Pirie; Patricia Elias |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Patricia Elias |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Mwenyekiti |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 12 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 143 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2001 |
| Uwanachama wa Mitandao | |
| Bajeti ya Mwaka | |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | E.U; CIDA; Wilde Ganzen; Rotary; ruzuku za faragha; mchango binafsi kutoka kwa mkurugenzi wa HABS |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Wazee; Familia; Wakulima; Wavuvi; Watoto Wachanga; Yatima; Walemavu; Watu wa Vijijini; Wajane; Wanawake; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Mawasiliano na Habari; Usuluhishi; Ushirika; Elimu: Msingi; Elimu: Sekondari; Elimu: Mafunzo ya Elimu ya Juu; Mazingira: Kiujumla; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Kiujumla; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Afya: Afya ya Uzazi; Biashara Ndogo Ndogo; Uangalizi wa Mali Asili; Mafunzo ya Kiutaalam; Maendeleo Vijijini; Utalii; Mafunzo ya Ufundi; |
| Aina ya Kazi | Kuongoiza kituo cha afya; kuendesha taasisi ya mafunmzo ya utalii, mafunzo ya kompyuta, mafunzo kwa vizi wa mafunzo na utetezi wa masuala ya mazingira; |
| Eneo la Utendaji | Kisiwa |
| Mwelekeo | Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Kutoana kuendeleza elimu na afya katika programme, mafunzo na huduma katika nyanja za huduma na mazingira |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kusaidia kuondoaumasikini kuptia juhuhudi CED hususan juhudi mfumo wa mazingira, afya na elimu katikanchi zinazoendelea |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kuhakikisha upatikanaji wa elimu juhudi na afya ya mazingira ya watu duniani kwa nchi zinazoendelea; |
|
| Mafanikio Makuu | |
tumejenga zahanati watu 17000 wanatibiwea (2002); mpango wa viziwi na watu wenye matatizo ya kusikia, Mradi wa EU. ERP kwa wtu wa vijijini (2003- 2007); kuweka kambi ya matibabu ya macho ambapo wagonjwa 4750 walitibiwa/ kupatiwa miwani(2006); miradi rafiki umasikini, yanayohusu ukarimu, mazingira na SME (2007) kujenga taasisi ya mafunzi juu ya utalii; mafunzo yanayotolewa bure ya vyeti na mafunzo ya Diploma (2007); |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |