Fysabilillahi Tabligh Markaz Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho F.T.M.Z
Eneo Ilipo Ofisi Fuoni migombani
Anuani / P.O. Box 4733
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 07773-189989/0777427053
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Ali Khamis Mwinyi
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Kassim Saleh Abdullah
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Mkurugenzi Uchumi na Fedha
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 21
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 105
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 83
Mwaka Iliosajiliwa 1998
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka
Njia Kuu ya Kupata Fedha Ni kujitolea kwa wanajumuiya kwa 80% na 20% ni misaada ya jamii.
Kazi
Walengwa Yatima; Waathirika wa Ukimwi; Wanawake; Vijana;
Sekta Unazozifanyia Kazi Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Sekondari; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Dini;
Aina ya Kazi

Elimu ya msingi kwa masomo yote, mafunzo ya dini ya awali kwa watoto, kituo cha afya kinatoa huduma kwa jamii, kituo cha ushauri nasaha na upimaji wa virusi kwa hiari, kuwalingania watu kutoka kwenye kiza na kuelekea kwenye nuru.

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Ni kufikisha jamii pahala ambapo wanamtambua muumba wao ili wawe salama duniani na akhera.Vilevile kuipelekea jamii pale ambapo itakuwa salama yenye amani utulivu.

Dhamira / Mission Statement

Ni kuwa na jamii yenye kumkubali Mw/Mungu, yenye usikivu, yenye amani nas utulivu, iliyo salama kiafya, iliyo katika mazingira bora.

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kuwahimiza waisilamu kuwa karibu sana na Mw/Mungu, kuinua na kuendesha utamaduni wa kiislamu kuhusu elimu mbalimbali za dini na dunia, malezi bora, afya na ustawi wa jamii ya kiislamu na kusimamia na kuendeleza IJITIMAI na ITIKAFU sehemu mbalimbali nchini.

Mafanikio Makuu

Mwezi wa 8 kila mwaka kuweza kuwakusanya waumini{jamii} kutoka sehemu mbalimbali; 2004 ukamilishaji wa dispensary na kuanza kufanya kazi; 2000 ukamilishaji wa shule na kuanza kusomesha wanafunzi; 2004 ujenzi wa nyumba ya mayatima; 2003 uundaji wa kamati ya ukimwi; 2004 ukamilishaji wa dispensary na kuanza kufanya kazi; 2000 ukamilishaji wa shule na kuanza kusomesha wanafunzi; 2004 ujenzi wa nyumba ya mayatima; 2003 uundaji wa kamati ya ukimwi;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

0


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma