| Faraja Youth Group | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | FAYOG |
| Eneo Ilipo Ofisi | Tomondo/Kwamchina Mwanzo |
| Anuani / P.O. Box | 2082 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 0773-524560 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Fatma Omar Bakar |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Halima Suleiman Ally |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Mjumbe wa Kamati Tendaji |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 20 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | Not yet registered |
| Mwaka Iliosajiliwa | |
| Uwanachama wa Mitandao | Zanzibar Youth Network Association (ZAYNA) |
| Bajeti ya Mwaka | |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | -itajazwa |
| Kazi | |
| Walengwa | Jamii Yote; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Afya: Ukimwi; Afya: Afya ya Uzazi; |
| Aina ya Kazi | Kutoa Elimu rika ya afya ya uzazi na ujinsia, magonjwa ya kujamiiani ikiwemo ukimwi, madawa ya Kulevya pamoja na staid za maisha kwa njia ya darasa, filamu na maigizo |
| Eneo la Utendaji | Shehia |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Vijana wapate Elimu ya afya ya uzazi na ujinsia magonjwa ya kujamiiana ikiwemo ukimwi pamoja na madawa ya Kulevya ili waishi katika hali ya usalama na afya nzuri wao na vizazi vyao hapo baadaye |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kuzingatia na kuwapa kipaumbele vijana walengwa wakuu katika kuletea haki za afya ya uzazi na ujinsia ili wafanye maamuzi kwa uhuru baada ya kuwa na taarifa za kutosha zilizosahihi kulenga ustawi na uinsia wao |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Inaamini kuwa kijana ndio nguvu kazi kuu kwa maendeleo ya taifa hivyo anayohaki ya kupatiwa elimu na taarifa sahihi juu ya afya ya uzazi na ujinsia, ukimwi pamoja na madawa ya Kulevya, na Elimu juu ya staid za maisha ili kuwa wabunifu na kuweza kujipatia ajira binafsi kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla |
|
| Mafanikio Makuu | |
8.1.05 – Elimu iliwafikia vijana 690; 6.5.05 - Elimu iliwafikia na walikubali; 28.8.06 - Mashirikiano mazuri na ma Sheha na wanakijiji ilikufikia vijana 422; 6.6.07 – vijana wameweza kubadilisha kutoka 20-60% baada ya kupata elimu; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |
Shehia Ya Tomondo; Shehia Ya Nyerere; Shehia Ya Magomeni; Kiwengwa; Kizimkazi; Paje; Mwera; Unguja Ukuu, Uzi, Fumba, Kisauni; Mkwajuni; Nungwi; Pale; Donge; Mahonda; Bumbwini; Kinjasini; Muyuni; Makunduchi; Mtende; Bwejuu |
|