| Jongowe Environmental Management Association | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | JEMA |
| Eneo Ilipo Ofisi | Jongowe - Tumbatu |
| Anuani / P.O. Box | 1291 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 0773-560100 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Othman Hadhir Othman |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Ngwali Makame Haji |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu Mkuu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 18 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 114 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2000 |
| Uwanachama wa Mitandao | |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 20,000,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Ada za wanachama; michango; wanaofaidika naa jumuia |
| Kazi | |
| Walengwa | Wazee; Familia; Wakulima; Wavuvi; Walemavu; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wanawake; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Mazingira: Kiujumla; Afya: Kiujumla; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Ushawishi; Maendeleo Vijijini; |
| Aina ya Kazi | Uhifadhi wa misitu, bahari, ardhi na magofu; Usafi wa mazingira kijijini; Elimu ya uhifadhi wa mazingira, ukimwi, sera na sheria za misitu, bahari kilimo na ardhi. |
| Eneo la Utendaji | ??? |
| Mwelekeo | Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Tumbatu kuwa na mazingiora bora (ardhi na bahari) kwa maisha bora. |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kuhakkikisha mazingora yanaboreka kupitia elimu ya jamii shajiishaji na kushirikisha jamii umuhimu wa uhifadhi wa mazingira kwa ujumla na kuhamasisha makundi / vikundi mbalimbali vya washirika wqa maendeleo. |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kuwa na maeneo ya uhifadhi misitu, bahari na upandaji miti; Wananchi kuwa na miradi ya kupunguza umasikini(SACCOS); Kendesha elimu ya afya, ukimwi na usafi wa kijiji |
|
| Mafanikio Makuu | |
2006/2007- Tumbatu kuwa na maeneo ya uhifadhi misitu; Idadi ya ujenzi wa vyoo na usafi wa mazingira umeongezeka; Miradi ya wananchi katika kupunguza uumaskini imeimarika kwa kuanzishwa Benki Jamii Jongwe, mfuko wa kijiji, mradi wa mti na ufugaji wa mbuzi; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |
Tumbatu(utafiti wa misitu na wanyama; elimu ya ukimwi na uhifadhi wa mazingira |
|