Dole Elementary Sports Institute Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho DESI
Eneo Ilipo Ofisi Dole
Anuani / P.O. Box 2798
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 077-333-1825; 077-317-2620
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Mussa Hassan Mussa
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Mussa Jaribu
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Mkurugenzi Mtendaji
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 4
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 398
Mwaka Iliosajiliwa 2006
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka
Njia Kuu ya Kupata Fedha Michango ya wanachama; Misaada ya wahisani; Kukodisha au kufanyia biashara rasilimali za taasisi; kununua hati za hisa za serikali au za uma; Kufungua hesabu ya akiba ya andi maalum benki na vitega uchumi vingine vitakavyokubalika
Kazi
Walengwa Watoto; Vijana; Wengineo: Wachezaji
Sekta Unazozifanyia Kazi Afya: Ukimwi; Maswala ya Dawa za Kulevya; Nyenginezo: Spoti, Spoti, Spoti
Aina ya Kazi

Kutoa mafunzo ya msingi ya michezo kama mpira wa miguu kuanzia umriwa miaka 8 hadi 20; Kutoa elimu ya ukimwi kwa ujumlahasa kwa vikundi vya wanamichezo; Kutoa elimu ya athari za madawa ya Kulevya.

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Dhamira / Mission Statement

Kujenga chuo cha michezo kitakachotoa mafunzo ya msingi ya michazo kuanzia na watoto wadogo wa miaka 8-20 kwa lengola kunyanyua kiwango cha michezo nchini, nakuwezesha vijana wetu kupata ajira sambamba na kuondosha umaskini kwa wanamichezo wa Zanzibar.

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Kuboresha maisha ya wanamichezo na kufanya michezo ni kazi kinyume na ilivyo sasa, Kulitangaza Taifa letu katika ulimwengu wa michezohivyo hata taifa kijipatia mapato kutokana na kodi mbalimbali kupitia michezo, nakujenga vyou sehemu tofauti katoka nchi nzima.

Mafanikio Makuu

Kutokana na kuwepo kwa taasisi yetu hapa Dole imepelekea Tanzania Olympic Committee (T.O.C) chini ya udhamini wa International Olympiv committee (I.T.C.) kujenga kituo cha kimataifa cha michezo ambacho ni maalum kwa ajili ya taasisi yetu, pia tumeshapata hati ya ardhi ya ujenzi wa kijiji cha michezo;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Wilay aya magharibi, Unguja-Dole pamoja na vijiji vya jirani; mwera; maili sita; Kizimbani


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma