| District Organisation for AIDS Control and Orphans' Rights | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | DOACO |
| Eneo Ilipo Ofisi | Mapofu Wingwi |
| Anuani / P.O. Box | 235 |
| Kisiwa | Pemba |
| Nambari ya Simu | 07731-153240; 0747-453140; |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | Hamad Othman Khamis |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Hamad Mbwana Shihi |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | 0 |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 60 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 414 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2006 |
| Uwanachama wa Mitandao | ZAC |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 13,026,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Michango ya wana chama; Misaada |
| Kazi | |
| Walengwa | Yatima; Waathirika wa Ukimwi; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Afya: Ukimwi; Haki za Binadamu; |
| Aina ya Kazi | |
| Eneo la Utendaji | Wilaya |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
Kuona kuwa hakuna maambukizo mapya ya ukimwi w/m’weni kuhakikisha kuwa mayatima wote wanapata haki zao za msingi |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
Kupungua kwa maambukizo ya virusi vya ukimwi, na kwa wale ambao wameathirika kuishi kwa matumaini.kupatiwa haki zao za msingi watoto mayatima |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kuwaelimisha wanajamii juu ya madhara yatokanayo na ukimwi na jinsi ya kujikinga na maambukizo pamoja na kutetea haki za msingi za mayatima. |
|
| Mafanikio Makuu | |
Juni 2005 kuanzishwa kwa hii jumuia ya kupambana ukimwi ndani ya w/m’wen; 2005-2007 kupata mashirikiano makubwa kutoka kwa viongozi wa wilaya (dacon) shella, shacom, zac katika kutoa elimu ya ukimwi; 2006-2007 kuwatambua mayatima walioomo ndani ya wilaya ya m’weni; 7-9/7/2007 wanajumuia kupata mafunzo (semina) ya kujengewa uwezo; Awareness-raising on HIV/AIDS |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |