ACRA Zanzibar
Utangulizi
Ufupisho ACRA
Eneo Ilipo Ofisi Shangani, Stone Town, Behind Department Of Higher Education, Science and Technology
Anuani / P.O. Box 3067 Shangani
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0773-152107
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email ;
Mtandao http://www.acra.it
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Piera Freccero
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Piera Freccero
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Mejeja Mradi wa Kujitolea
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 6
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 1
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 325
Mwaka Iliosajiliwa 2004
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka TZS 104,000.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha Commissiion ya Umoja wa Ulaya- kutoka Afisi ya Dar Es - Salaam
Kazi
Walengwa Wakulima; Wavuvi; Watu wa Vijijini; Wanawake;
Sekta Unazozifanyia Kazi Utetezi; Kilimo na Mifugo; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Biashara Ndogo Ndogo; Uangalizi wa Mali Asili; Maendeleo Vijijini; Utalii; Mafunzo ya Ufundi;
Aina ya Kazi

Mafunzo ya amali kuhusu hoteli na huduma za ukarimu; kampeni juu ya uelewqa wa mazingira miradi midogodogo na ta kati; utetyezi katika kuhusu sera za Utalii; usimamizi wa usambazi wa maji; shughuli za kilimo

Eneo la Utendaji Shehia
Mwelekeo Vijijini
Dira / Vision Statement

ACRA ilianzishwa mwaka 1968 kama juhudi ya kikundi cha watu waliohamasika na utashi wa kukuza huduma za kijamii kwa ajili ya maendeleao endelevu kayika nchi za kusini, kutulia mkazo maeneo ya vijijini. Inavutiwa na fikira za ushirika, maendeleo ya watu ambayo yanaleta mazingira endelevu kupitia ubia na mahusiano sawa

Dhamira / Mission Statement

Kwa ushirikiano wa taasisi za kitaifa na /au wilaya, serikali, na jumuiya Zisiza Za Kiserikali, ACRA ina lengo la kuleta muamko la maendeleo binafsi, kutulia mkazo kujiendeleza hatua kwa hatua mawasiliano ya kimtandao katika kiwango cha kimaeneo, kitaifa na kimataifa.

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Malengo ya ACRA kukhakikisha taarifa, mijadala endelevu, kutoa nafasi ya utafiti, kusaidia katika kuwakusanya wahusika wakuu.inasaidia miradi ya maendeleo ya kijamii na imetambuliwa na kuanzishwa na jamii iliopo katika maeneo mahsusi katika kiuchumi, kimazingira, kiafya na kielimu.

Mafanikio Makuu

Kukakilika kwa mradi e=wa elimu ya watu wa vjijini ailidhaminiwa na commmission ya ulaya disemba 2006.kutimiza mwaka mmoja wa utekelezaji wa mradi wa utalii unajali masikini Zanzibar ( jan.2007); Termination of first year of implementation of proper tourism in Zanzibar project; Training community in Nungwi about tourism and hospitality; Environmental club in three schools trained (Nungwi, Fukuchani, Kidoti); Sensitized community on waste management issues in Nungwi for seven villages

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Walaya ya njombe; nungwi; jambiani na idara ya madunda


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma