A World Home for Youth
Utangulizi
Ufupisho WHY
Eneo Ilipo Ofisi Jambiani
Anuani / P.O. Box 10
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0773-310850
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao http://www.whyinsieme.org
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Nicolo Mara Olio, Project Coordinator
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Maraolo Nicolo
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Mratibu wa Mradi
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa 3
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 2
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 467
Mwaka Iliosajiliwa 2006
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka TZS 90,000,000.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha WHY - A World Home for Youth (Italy)
Kazi
Walengwa Watoto; Watoto Wachanga; Walemavu; Watu wa Vijijini; Vijana;
Sekta Unazozifanyia Kazi Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Sekondari; Elimu: Mafunzo ya Elimu ya Juu; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Afya ya Uzazi; Uangalizi wa Mali Asili; Mafunzo ya Kiutaalam;
Aina ya Kazi

Mafunzo ya ualimu; matengenezo ya skuli; kujenga shule za awali; kutoa vifaa vya skuli; mafunzo ya lugha; amafunzo ya usafi na kusaidia moradi ya maji;

Eneo la Utendaji Mkoa
Mwelekeo Vijijini
Dira / Vision Statement

Kuwa na dunia ambayo ni makaazi mema kwa vijana ambapo wanaweza kuwa na ustawi wakiwa huru. Dunia bora katioika viwango vya kimataifa na kijamii. Dunia ambayo kila mmoja anaweza kujisikia anapendwa na na yuko nyumbani

Dhamira / Mission Statement

Tunatayarisha pahala patapoweza kutumiwa na vijanna kuweza kujieleza wenyewe, kubadilishana mawazo na staid za maisha. WHY inasaidia miradi yenye muelekeo wa kiellimu.

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Dunia – nyumbani – vijana; dunia ambayo na makaazi mema kwa vijana

Mafanikio Makuu

Ujenzi wa kituo cha walimu kitogani ( Julai – Septemba2006) .Mafunzo ya mpango wa elimu mchanganyiko( 2006-2007) mpango wa mafunzo ya Elimu ya watu wazima na elimu mbadala ( 2006 -2007); uanzishaji wa skuli ya maandalizi charawe ( sept.2007) kuanzisha shule ya maandalizi kwa jamii ya jambiani (sept.2007); Maintenance of health centre in South District, nursery school in Charawe and Jambiani, and participation in envrionemtal festival in Jambiani

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Uzi; Charawe; Jambiani; Kitogani; Michamvi; Muyuni; Kibuteni; Makunduchi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma