Confederation of Informal Sector Organizations
Utangulizi
Ufupisho CISO
Eneo Ilipo Ofisi Malindi, Afisi Ya Mkuu wa Wilaya Mjini
Anuani / P.O. Box 81
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 0777-471911; 0777-426882
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Saidi Alakii Hassan
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Mohamed Omar Ramadhan
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Katibu
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 8
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 526
Mwaka Iliosajiliwa 2007
Uwanachama wa Mitandao East Africa Network
Bajeti ya Mwaka
Njia Kuu ya Kupata Fedha
Kazi
Walengwa Wanawake; Vijana;
Sekta Unazozifanyia Kazi Biashara; Ushirika; Elimu: Utetezi wa Sera; Afya: Ukimwi; Mikopo Midogo Midogo; Biashara Ndogo Ndogo; Sayansi na Tekinolojia; Utalii; Mafunzo ya Ufundi;
Aina ya Kazi

Eneo la Utendaji Taifa
Mwelekeo Mjini, Vijijini
Dira / Vision Statement

Dhamira / Mission Statement

Dhamira kubwa ya Ciso ni kuboresha hali ya kiuchumi na kijamii ya wazalishaji wadogo wadogo kwa kutumia rasilimali zilizopo.

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

Madhumuni makubwa ya jumuiya hii ni kuwezesha wazalishaji wadogo wadogo kupata fursa ya kutangaza bidhaa zao kwa nchi wanachama wa jumuia ya Afrika Mashariki na Duniani kote

Mafanikio Makuu

;;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Wilaya ya mjini- Shehia ya Kwawazee, Nyerere, Magomeni; ZFA wilaya zote; Pemba na Unguja.


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma