| Chumbuni Ward Development Social Health Organization | |
|---|---|
| Utangulizi | |
| Ufupisho | CHUWADESHO |
| Eneo Ilipo Ofisi | Chumbuni Daraja Bovu kwa Mzushi |
| Anuani / P.O. Box | 4196 |
| Kisiwa | Unguja |
| Nambari ya Simu | 0777-852972 |
| Faksi / Fax | |
| Anuani ya Barua Pepe / Email | |
| Mtandao | |
| Wafanyakazi | |
| Jina la Kiongozi Mkuu | |
| Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae | Abdulkadir Suleiman Ali |
| Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae | Katibu |
| Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa | |
| Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea | 2 |
| Usajili na Upatikanaji wa Fedha | |
| Namba ya Usajili | 410 |
| Mwaka Iliosajiliwa | 2006 |
| Uwanachama wa Mitandao | ANGOZA |
| Bajeti ya Mwaka | TZS 50,000.00 |
| Njia Kuu ya Kupata Fedha | Michango ya wanachama; makusanyo yatokanayo na mradi |
| Kazi | |
| Walengwa | Watoto; Waathirika wa Ukimwi; Vijana; |
| Sekta Unazozifanyia Kazi | Utetezi; Afya: Ukimwi; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Afya: Afya ya Uzazi; Ushawishi; Maendeleo Vijijini; Maswala ya Dawa za Kulevya; |
| Aina ya Kazi | Kujitaftia ufumbuzi katika matatizo ya kimaendeleo yanayoyakabili vijivi vya wilaya ya Micheweni mfano, kuanzisha na kushajiisha ujenzi wa shule za awali maeneo ambayo shule za msingi zio mbali na maeneo wanayoishi |
| Eneo la Utendaji | Taifa |
| Mwelekeo | Mjini, Vijijini |
| Dira / Vision Statement | |
-kuwa na jamii isiyo na umaskini uliokithiri ambapo watu wote wataishi maisha yenye maendeleo |
|
| Dhamira / Mission Statement | |
MISCO itapunguza umaskini kwa kufanya kazi na jamii ya watu wa Micheweni pamoja na wadau wengine na kushajiisha kujitaftia maendeleo samabamba na kupambana na ukimwi, mamba za utotoni, ajira za watoti na uharibifu wa mazingira |
|
| Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi | |
Kupunguza umaskini katika jamii ya watu wa Wilaya ya Micheweni kwa kuhakikisha kuwa vijiji vyote vinashirikishwa kujitaftia maendeleo na vinapata fursa sawa za maendeleo |
|
| Mafanikio Makuu | |
; |
|
| Maeneo Yanayofanyiwa Kazi | |
-watoto wenye mazingira magumu, MVC |
|