Chanjaani Development Organization
Utangulizi
Ufupisho CHADO
Eneo Ilipo Ofisi Chake/chanjani
Anuani / P.O. Box 392
Kisiwa Pemba
Nambari ya Simu 0773-212539
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Yusuph Abdula Ramadhan
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Abdula Suleiman Nassor
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Katibu
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 25
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 292
Mwaka Iliosajiliwa 2004
Uwanachama wa Mitandao
Bajeti ya Mwaka TZS 5,000,000.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha 1. Michango ya wanachama; Ada za wanachama
Kazi
Walengwa Watoto; Wazee; Familia; Wakulima; Watoto Wachanga; Yatima; Walemavu; Waathirika wa Ukimwi; Watu wa Vijijini; Wajane; Wanawake; Vijana; Wengineo: Wanamichezo, Wanaitikadi, Wanadini
Sekta Unazozifanyia Kazi Kilimo na Mifugo; Biashara; Mawasiliano na Habari; Ushirika; Udumishaji Mila; Elimu: Msingi; Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Sekondari; Elimu: Mafunzo ya Elimu ya Juu; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Afya: Ukimwi; Afya: Usafi na Malaria; Afya: Wajawazito, Mama na Mtoto; Afya: Afya ya Uzazi; Haki za Binadamu; Haki za Wafanyakazi; Ushawishi; Mikopo Midogo Midogo; Biashara Ndogo Ndogo; Uangalizi wa Mali Asili; Dini; Maendeleo Vijijini; Maswala ya Dawa za Kulevya;
Aina ya Kazi

1. Usambazaji wa maji safi; Elimu-chkechea/msingi; Afya-chanjo; kilimo

Eneo la Utendaji Shehia
Mwelekeo Mjini
Dira / Vision Statement

Kuleta maendeleo ya nyanja zote kwa wanashehia wa chanjani

Dhamira / Mission Statement

Wanashehia kutumia rasilimali zao/nyenzo katika shehia yao kujiletea maendeleo

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

1. Matumizi bora ya nguvu na mitaji iliyomo ndani ya shehia; Mikakati ya makusudi ya matumizi ya rasilimali kwa kuondoa umasikini katika shehia; Kuondosha matatizo ya fedha na kijamii ndani ya shehia; Kuinua kwango cha utambuzi wa masuala ya kiafy; Mahusiano na mashirika mbali mbali

Mafanikio Makuu

5-7-04      usajili halali wa jumuiya ulipatikana; 2005 mradi wa maji(mtaro mpya); 01-02-07 mradi wa ujenzi wa shule ya msingi;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma