Jambiani Marine and Beach Conservation
Utangulizi
Ufupisho JAMABECO
Eneo Ilipo Ofisi Jambiani
Anuani / P.O. Box 3874
Kisiwa Unguja
Nambari ya Simu 777-875686; 430519
Faksi / Fax
Anuani ya Barua Pepe / Email ;
Mtandao
Wafanyakazi
Jina la Kiongozi Mkuu Abdu Makame Vuai
Jina la Mtu wa Kuwasiliana Nae Juma Mahmoud Khamis
Wadhifa wa Mtu wa Kuwasiliana Nae Katibu Mtendaji
Idadi ya Wafanyakazi Wanaolipwa
Idadi ya Wafanyakazi Wakujitolea 25
Usajili na Upatikanaji wa Fedha
Namba ya Usajili 331
Mwaka Iliosajiliwa 2005
Uwanachama wa Mitandao ANGOZA; NGORC
Bajeti ya Mwaka TZS 18,000,000.00
Njia Kuu ya Kupata Fedha 1. michangoya wanachama
Kazi
Walengwa Watoto; Wakulima; Wavuvi; Watu wa Vijijini; Vijana;
Sekta Unazozifanyia Kazi Elimu: Mafunzo ya Awali kwa Watoto; Elimu: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utetezi wa Sera; Mazingira: Utunzaji wa Mazingira; Mazingira: Kiujumla; Mazingira: Taarifa, Elimu na Uelewa; Uangalizi wa Mali Asili; Utalii;
Aina ya Kazi

Eneo la Utendaji Kijiji
Mwelekeo Vijijini
Dira / Vision Statement

Kijiji cha jambiani na ukanda wa pwani wa mashiriki ya Zanzibar kuwa ni sehemu bora kwa maisha ya viumbe na kuongezeka kwa kipato cha maisha ya watu kupitia matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na fukwe ifikapo 2010.

Dhamira / Mission Statement

Kulinda na kuhifadhi mazingira ya bahari na fukwe kwa kuelimisha, kutoa mwamko, kupanda miti na kusafisha katika fukwe na kushajihisha matumizi endelevu na kusimamia rasilimali katika kijiji cha jambiani

Malengo Makuu ya ASASI / Kikundi

1. mazingira ya bahari na fukwe yanabakia kuwa sehemu bora kwa maisha ya viumbe wote waishio ndani ya sehemu hiyo; 2. mali asili za bahari na fukwe haziharibiwi kwa njia yoyote zile.

Mafanikio Makuu

9/4/2007 kuwapeleka wavuvi katika kisiwa cha chumbe kujifunza; 9/9/2007 kuendesha tamasha la mazingira ya fukwe na bahari (jambiani reef and beach festival); 3/5/207 wavuvi wamepata mwamko wa kutunza na kuyajali mazingira ya bahari na fukwe;

Maeneo Yanayofanyiwa Kazi

Jambiani; Chumbe


Saidia Kusahihisha Au Kukamilisha Takwimu | Nyuma