English | Kiswahili
Tafadhali andika jina la Jumuiya yenu kama lilivyo kwenye Cheti chenu cha Usajili.
Tafadhali ainisha wapi ilipo Ofisi Kuu yenu -mfano:Jina la jengo, mtaa,mji,shehia n.k
Tafadhali ainisha kisiwa gani Ofisi yenu kuu ilipo
Tafadhali andika namba ya simu(ya mkononi au ya ndani)kwaajili ya kuapata taarifa zaidi za Jumuiya yenu.
Tafadhali andika Cheo cha Mkuu wa Jumuiya yenu-mfano Mkurugenzi,Mwenyekiti, n.k.
Kwa mfano, katibu, mshikafedha, n.k.
Tafadhali andika wastani wa watu wanaojitolea katika jumuiya yenu au watu wanaojitolea kikawaida katika miradi yenu.
Tafadhali andika namba yenu ya Usajili kwa mujibu wa Sheria namba 6 ya mwaka 1995 ya vyama vya hiari, chini ya Wizara ya katika na Utawala Bora-Zanzibar.
Tafadhali ainisha Mtandao wowote ambao Jumuiya yenu ni mwanachama- mfano:ANGOZA,ZANGOC, TANGO, n.k
Tafadhali ainisha Bajeti ya mwaka mzima ya jumuiya yenu.Unaweza kukisia kiwango hicho (mfano: baina ya Tsh 100,000 na Tsh 500,000).Tafadhali ainisha aina ya sarafu iliyotumika.
Tafadhali ainisha Mashirika Makuu ya ufadhili yanayosaidia Jumuiya yenu (mfano :CIDA,USAID,n.k).Iwapo Jumuiya yenu inasaidiwa na mchango wa watu binafsi,au mchango wa wanachama,tafadhali ainisha hilo.
Tafadhali ainisha walengwa wa Jumuiya yenu?
Jee kuna walengwa wengine katika Jumuiya yenu ambao hawakutajwa katika orodha hii?
Ni kazi gani mahsusi Jumuiya yenu inajishughulisha nazo?
Ni sekta zipi ambazo Jumuiya yenu inajishughulisha na hazikutajwa katika orodha iliyopita
Tafadhali eleza kwa ufupi kazi za kawaida za Jumuiya yenu.
Tafadhali ainisha ni wapi zaidi(eneo) Jumuiya yenu hufanyakazi.
Please select one or both.
Tafadhali eleza kwa ufupi na taja tarehe za mafanikio matano tu mliyoyapata.
Tafadhali orodhesha vijiji,shehia,au Wilaya ambazo Jumuiya yenu ina miradi.
Namba za Simu Ili Kuhakiki Taarifa(Inahitajika) Ili Wizara ya Katiba na utwala bora kuthibitisha taarifa za Jumuiya yenu; ni LAZIMA uandike namba ya simu ya uhakika na inayotumika (ya mkononi au ya ndani). close
Ili Wizara ya Katiba na utwala bora kuthibitisha taarifa za Jumuiya yenu; ni LAZIMA uandike namba ya simu ya uhakika na inayotumika (ya mkononi au ya ndani).
Rudi Kwenye Orodha